Uzinduzi wa GODORO la mama mwenye nyumba

Uzinduzi wa GODORO la mama mwenye nyumba

Inaonesha kujenga nyumba ya kuishi mwenyewe kunatukosesha mavitu ya uswahilini eeeh!

Nataka kufanya maamuzi magumuuu, nauza mjengo wangu nikapange wakati nikijenga ya kupangisha nami niishi humo ktk mabanda ya uani!! Au ndo ntakuwa nimemweka rehani mama yoyooo mbele ya wapangaji akina PUNDA?
 
Last edited by a moderator:
wee!! Mtoto wa mwenzio mwanao!! Huyo dogo hana lolote anapenda mimama tu ukute alikuwa analivizia hilo limama siku nyiiingi!! Mitoto ya siku hizi...!!!

Hahahaha anapenda mimama kubanjuka nayo aka kugegeda au kulelewa?:banghead::banghead:
 
Inaonesha kujenga nyumba ya kuishi mwenyewe kunatukosesha mavitu ya uswahilini eeeh!

Nataka kufanya maamuzi magumuuu, nauza mjengo wangu nikapange wakati nikijenga ya kupangisha nami niishi humo ktk mabanda ya uani!! Au ndo ntakuwa nimemweka rehani mama yoyooo mbele ya wapangaji akina PUNDA?

Heheheheh una hatari mkuuu
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaaaah! Wonders shall never end

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Uzinduzi mwema kesho utuletee picha tuone ulivokata utepe...
 
Nawasihi enyi binti za Yerusalemu kwa paa na kwa ayala wa porini msiyachochee mapenzi wala kuyaamsha hata yatakapoona vema yenyewe
 
Uende na ky kabsa ili babu akikufumania ucumie kivleeeeee
 
Ungeandika "uzinduzi wa godolo la bibi mwenye nyumba" ni waz huyo ni bibi yako ka kakuzid miaka 30 uzinduz mwema
 
hahaa #punda kazi yake kutumikishwa hapa dumiani....unajiita punda agu anakutumia mama
 
Dogo mumewe akikufuma utaujua utamu wa Viagra.
 
Back
Top Bottom