Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 313
tutaona wakwenu mtakao wasomba kwa malori....
.....haifai mgombea ubunge kakaa kivulini na chupa ya Kilimanjaro wakati walala hoi na washinda kiu huku kwenye umati tuko juani hatuna jinsi zaidi ya vimaji vichafu kwenye viplasiti "maji ya kondom"...
Hijabu na vibaraghashia havipo kabisa Arumeru.Magamba watakufa!
Yani nepi huna ishu aibu wewe ndio haunayo kumbuka unampiga vita mamvi na unaenda mpigia debe mkwe wake. Unajikaanga kwa mafuta yako mwenyeweMasikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
We jr unaambiwa urudi kwenu ukagombee tuone kama unauwezo huo mmezoea kushinda kwa kuchakachua mtachakachua na uraia Wa mkwe Wa mamvi safari hii umekamatwa pabaya tunasubiri kesho tuone.Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
kuchangia chadema, m pesa 07577555333, mchango wako utaimarisha kampeni za joshua nasari
Mbona watoto wengi humu? Huu ndio umati ? Kweli jimbo limekwenda ccm h
Campaign managers CHADEMA, mnyang'anyeni babaake Nassari hiyo biblia hapo jukwaani, yeye haelewi political ramifications zake, nyinyi vipi nyinyi?
Wajameni,mbona Mh.Mbowe anatumiasigara kalihadharani?
Baba yake Nasari ni mchungaji huwezi kumuwekea mashariti ya kutokutembea na bible kama ilivyo kawaida yake kwanza siyo lazima yeye awechadema unaweza kuta kwenye siasa hayuko.....Campaign managers CHADEMA, mnyang'anyeni babaake Nassari hiyo biblia hapo jukwaani, yeye haelewi political ramifications zake, nyinyi vipi nyinyi?
Chama kina doa baya la taswira ya Ukatoliki na Uchaga, you need to quash that alienating image, it does not resonate with the muslim vote, mnajua kura ngapi Dr. Slaa alizikosa for being billed as a Christian block candidate? Ondoeni hizo paraphernalia za Ukristo kwenye kampeni!