Uzinduzi wa CCM jumatatu utakuwa live TBC

Tatizo watu wa JF live coverage wote ni Chadema! Edson,Crashwise n.k! Itabidi Ma.gamba wamtume Marin hassan humu JF kupost Live!!
UMESAHAU K JF PIA WAKO KINA NNAUYE Jr, MTM , REJAO NA PIA OTHER FO***OLS LIKE IDIO**TS WANAORIPORT NA KUSHADADIA KWA NIABA YA MAFISADI WA CCM, WALA MSIHOFU WATARIPOTI KWA MAPANA ILA NAOMBA WATUONYESHE PIA MAFUSO PIA MABASI YATAKAYOSAFIRISHA UMATI WA KUHUDHURIA MKUTANO PIA UFUNGUZI UO
 
hivi kuna upupuu kama ule wa jana . Msiogope kuangalia tv jumatatu muone tofauti ya nassari na sioi . Sio mnafata mkumbo bila kujua uwezo wa mgombea wenu .
 
jf matangazo yote yanalipiwa kwenda hewan,cdm mlichagua star tv na ccm wameamua kurusha kampen zao kwa ktmia tbc SHIDA IKO WAPI?KAMA HAMTAKI KUANGALIA ACHENI BWANA
 
Tangu lini jamani CCM wamekuwa na TV,TBC1 ni TV ya taifa sio ya chama ikirusha uzinduzi wa CCM huku waligoma kurusha uzinduzi wa wapinzani huo pia ni ufisadi wa kiana.
 
hivi kuna upupuu kama ule wa jana . Msiogope kuangalia tv jumatatu muone tofauti ya nassari na sioi . Sio mnafata mkumbo bila kujua uwezo wa mgombea wenu .

Sioi ana uwezo gani? Umewah hata kuiona CV yake? Ushawah kuckia ni wap na ln amewah hata kuwa monitor au monitress wa darasa? Yule kawekwa pale kama ushahd tu.
 
haina haja ya kubishana sana ingependeza tuwe wote kwenye uzinduzi wa kampeni kama tulivokuwa wote jana kwa nassari . Hapo ndo utajua uwezo wa sioi upoje .
 
hivi kuna upupuu kama ule wa jana . Msiogope kuangalia tv jumatatu muone tofauti ya nassari na sioi . Sio mnafata mkumbo bila kujua uwezo wa mgombea wenu .
NATUMAI NI BUSARA SANA TUTATHMINI UCHANGIAJI WETU HASA KUEPUKA USHABIKI, NI HARAMU TAASISI ZA SERIKALI HASA TBC AMBACHO NI CHOMBO CHA WOTE HASA MISHAHARA PIA MARUPURUPU YAKE YAKITOKANA NA KODI ZETU SIE AMBAO NI WAPENZI PIA WAFUASI WA ITIKADI ZA CHAMA KINGINE KUTOTUMIKA EQUALLY, HUU NI HUU*****NI WA SERIKALI NA UKO MBELE WATU WATAWAJIBIKA, TUNAITAKA CCM IELEWE KWA KUFANYA IYO IMECHANGIA PAKUBWA KUSHUSHA HADHI YA TBC PIA RADIO TZ, TUNAJIUNIA KUANGALIA KBC, CITIZEN, STAR tv, Itv N.K, WASOME ALAMA ZA NYAKATI AWA TUMBI*****LI MAFISADI
 
Kwa hl CCM wanaridhisha kuwa wameshinda Kabisa,yaani mpaka wanalipeleka Tbc si mchezo. Mkapa asipopanda Jukwaani mi nina Asilimia kuwa Chadema akashinda ila akipanda yule MKAPA itakuwa vingine
 
lazima apande jukwaani .
 
Bahati mbaya kesho ni siku ya kazi, hakuna muda wa kuangalia Tv!
 
NATUMAI NI BUSARA SANA TUTATHMINI UCHANGIAJI WETU HASA KUEPUKA USHABIKI, NI HARAMU TAASISI ZA SERIKALI HASA TBC AMBACHO NI CHOMBO CHA WOTE HASA MISHAHARA PIA MARUPURUPU YAKE YAKITOKANA NA KODI ZETU SIE AMBAO NI WAPENZI PIA WAFUASI WA ITIKADI ZA CHAMA KINGINE KUTOTUMIKA EQUALLY, HUU NI HUU*****NI WA SERIKALI NA UKO MBELE WATU WATAWAJIBIKA, TUNAITAKA CCM IELEWE KWA KUFANYA IYO IMECHANGIA PAKUBWA KUSHUSHA HADHI YA TBC PIA RADIO TZ, TUNAJIUNIA KUANGALIA KBC, CITIZEN, STAR tv, Itv N.K, WASOME ALAMA ZA NYAKATI AWA TUMBI*****LI MAFISADI

kama wanalipia matangazo haina shida . Umesahau tupo kwenye soko huria ?
 
UMESAHAU K JF PIA WAKO KINA NNAUYE Jr, MTM , REJAO NA PIA OTHER FO***OLS LIKE IDIO**TS WANAORIPORT NA KUSHADADIA KWA NIABA YA MAFISADI WA CCM, WALA MSIHOFU WATARIPOTI KWA MAPANA ILA NAOMBA WATUONYESHE PIA MAFUSO PIA MABASI YATAKAYOSAFIRISHA UMATI WA KUHUDHURIA MKUTANO PIA UFUNGUZI UO
Hao wote ujanja wao uko kwenye keyboard na mouse, ukiwaambia kuweka vitendo kwa kurusha live matangazo mtakesha kwani hupati kitu. Wawaachie kina Crushwise na Edson mambo ya Technology..
 
haina haja ya kubishana sana ingependeza tuwe wote kwenye uzinduzi wa kampeni kama tulivokuwa wote jana kwa nassari . Hapo ndo utajua uwezo wa sioi upoje .
Ubunge wa kuwekwa anao utaka kunawatu nyuma yake waliomuweka tena kwa lazima atekeleze matakwa ya hao mafisadi sasahasirani hatapata ubunge mbele ya Nasari ndugu safari hii muhesabu maumivu mbona tunawauliza kutakuwa na pilau kama kawaida yenu hamjibu.
 
Kwa hl CCM wanaridhisha kuwa wameshinda Kabisa,yaani mpaka wanalipeleka Tbc si mchezo. Mkapa asipopanda Jukwaani mi nina Asilimia kuwa Chadema akashinda ila akipanda yule MKAPA itakuwa vingine
Who is Mkapa huyu bepari mkubwa na mwizi mkubwa wa aridhi yetu huko Arumeru amejilimbikizia aridhi mahekari kwa mahekari atawaeleza nini wameru wamwelewe wao hawana aridhi yote kachukua Mkapa na marafikizake hana jipya huyo.
.
 
Kuna tetesi kwamba uzinduzi wa Ccm siku ya jumatatu utarushwa live na television ya taifa Tbc.
Source. Jamaa yangu ndani ya Tbc
my take: kama uchaguzi huo utarushwa live na tbc wakati leo hawajarusha ufunguzi wa chadema basi itaendelea kuleta tafsiri mbaya zaidi katika taasisi hiyo ya serikali

kwani wanarusha bure? si wanalipwa sasa tatizo liko wapi? kama chadema hawakuomba mkutano wao urushwe na tbc hakuna tatizo pia mkuu
 
Ubunge wa kuwekwa anao utaka kunawatu nyuma yake waliomuweka tena kwa lazima atekeleze matakwa ya hao mafisadi sasahasirani hatapata ubunge mbele ya Nasari ndugu safari hii muhesabu maumivu mbona tunawauliza kutakuwa na pilau kama kawaida yenu hamjibu.

kama wewe ndo unapikaga tutakuja kula mkuu.
 
Back
Top Bottom