Uzinduzi wa CCM jumatatu utakuwa live TBC

Uzinduzi wa CCM jumatatu utakuwa live TBC

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Kuna tetesi kwamba uzinduzi wa Ccm siku ya jumatatu utarushwa live na television ya taifa Tbc.

Source: Jamaa yangu ndani ya Tbc

My take
kama uchaguzi huo utarushwa live na tbc wakati leo hawajarusha ufunguzi wa chadema basi itaendelea kuleta tafsiri mbaya zaidi katika taasisi hiyo ya serikali.
 
Wa*****i tu hao,uwa siangaliagi huo uchafu kabisa,kama station zote zitakua off air na ikabaki tbc ei bora nikasikilize sauti ya kunguru nje!
 
Nashukuru siku hiyo TV Nitakuwa busy na cartoon network
 
Napanga hujuma dhidi ya TBC..nyie mtasikia tu.WANATUCHEFUA NA KODI ZETU
 
Moja ya hujuma ni kupiga kampeni watu wa arusha wachache wanaoangalia waipotezee,dar najua hawaijui kabisa
 
hivi nchi hii sijui ikoje...tokea lini idhaa ya taifa ikashabikia mambo yenye maslahi siasa!...
 
CCM wanapenda sana DEZO, haiingii akilini kwa nini wasilipie matangazo kama CDM waanze kukurupukia li Tv la taifa lililopoteza mvuto. Ndio maana viongozi wote wa CCM ni waumini wa kutembeza bakuli kwa wazungu badala ya kutumia rasilimali, dezo syndrome inawatesa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kuangalia/kusikiliza TBC ni sawa na kula k.i.n.y.e.s.i cha mtu!
 
Wa*****i tu hao,uwa siangaliagi huo uchafu kabisa,kama station zote zitakua off air na ikabaki tbc ei bora nikasikilize sauti ya kunguru nje!

i hate this f***ing station. Hypocrites
 
Mimi sina TV mtanieleza yatakayo jiri huko wandugu
 
Bila shaka taarifa ya saa mbili watatueleza kuwa pilau itakuwa na nyama za ngombe au mbuz....wahakikishe hiyo j3 lipilau lisiwe na chumv nyingi
 
Tatizo watu wa JF live coverage wote ni Chadema! Edson,Crashwise n.k! Itabidi Ma.gamba wamtume Marin hassan humu JF kupost Live!!
 
Back
Top Bottom