Uzinduzi antivirus mixtape 26/11/11

Greater Thinker kwanza yaonekana una xmass mbili tu hapa jijini, na suala la burudani hulijui wewe,
Wasanii waliojiunga na kuunda kundi la Vinega, ndio wasanii waliofanya mapinduzi ya mziki huu mpaka ukakubalika nchini,
unawajua Bantu Poung Gangstar wewe? Dar Young MOBB?Diplomatiz? hao ndio wakali wa mziki nchini na leo hii wapo na mishe mishe zao nyingine za maisha ila ndo wanaomsapoti SUGU na vinega..
Sugu na hao jamaa walianza kuhit 1995 je Radio ya Wafu ilikuwepo?
Sugu hajawahi fanya biashara na Wafu fm lakini ndio msanii mwenye mafanikio kuliko wote, ndio msaani wa kwanza wa kizazi kipya kwenda kufanya shoo nje ya nchi, kuuza album yake mwenye bila wahindi wala usimamizi wa RUGAY, kureodi na kufanya mixing mbele..
sasa hao unaowatete wanaenda kwa DMX na FABOLOUS wana mafanikio gani katika maisha yao?
wanayonywa lakini kwa uoga wao bado wanajipendekeza, Lady JD, Ray C unajua kwa nini walijitoa Smooth Vibes?

wewe bado sana kijana, tuachie wenye medani yetu, wewe umetumwa na RUGAY kuleta thread za kifala humu, ooh THT wamerudi bongo inahusu nini humu?
kama kweli wanawajali wasanii niambie waanzailishi wa THT wako wapi?
 
mkuu usibishane na katoto kanachosumbua kupost upupu kwa simu aliyonunuliwa na shemeji yake!nina imani kikinijua kwa jina la ukweli kitataka urafiki au kuleta shobo kwangu!
 
duh hili ndio tamasha la kwenda,nna miaka mingi sana sijaenda kwenye show za bongo,sababu ya ubabaishaji..sugu we ni jembe
 
Watakuja wapenda matusi...inaonesha hata hiphop hawaijui,tangu ln mixtape ikawa na uznduz?kama co sugu anataka kuwadhurumu wenzie!kwa nn vinega wote hawana elimu?kwa nin vinega wote wamepotea kwny game?kam wanabbniwa na clouds,kwa nin nymbo zao hazpgw redio nyngne?niambie n nymb gan katka hyo mixtape inafaa kupgwa kwny teleshen ya taifa?niambie n nymbo gan ktk hyo mixtape inaweza kupendwa na watu makn kama zito au prof.shivji?...tar26 naenda kumchek m2 mzima DMX..Et Antivirus? Soggy dog =magamba..sugu = magamba..wu z virus sugu o soggy?
acha uboya ww,nani anaimba matusi? na hao watangazaji wenu wanaoliwa kama mboga c ndo wanatukana kwa vitendo,clouds ilianza miaka 6 baada ya sugu kujulikana................,huu mziki una mambo mengi kuliko unavyodhani,na huyo "kahaba" kiama chake ndo kimefika,mwisho wa ubaya ni aibu na hakuna marefu yasiyo na ncha...................***** wewe!!!!!
 
Sugu hovyo kweli. Mbunge mzima anaandika nyimbo za matusi. Shame!
 
acha uboya ww,nani anaimba matusi? na hao watangazaji wenu wanaoliwa kama mboga c ndo wanatukana kwa vitendo,clouds ilianza miaka 6 baada ya sugu kujulikana................,huu mziki una mambo mengi kuliko unavyodhani,na huyo "kahaba" kiama chake ndo kimefika,mwisho wa ubaya ni aibu na hakuna marefu yasiyo na ncha...................***** wewe!!!!!

Jo.kusaga & Ruge walianza burudan kpnd hcho sugu anatokwa na makamasi.,Unamkumbuka Dj.Emperor?inawezekana ulikua mdogo yoo...
 
na sikia ruge anapresha baada ya kuona watu wamepata sehemu halafu ni confirmed lazima ajibebe tu..

tuendelee kuitibu hii virus..

Pamoja sana anajiona anamiliki mziki wa bongo sasa anapambana na vinega. anahaha anasema anamleta dmx kumbe kwenye ratiba yake tz haipo anatamani amfufue michael jackson
 
Sina ugomvi na hao wasanii but hayo matusi wanayomwaga ... kah nimewashusha thamani... hiphop sio matusi ... kawape taarifa hao vinega , na pia mkubali wa tz ni mashabiki wa bongo flava, bongo flava zipo juu ea, nenda Kenya kaulize who is alikiba, alafu waulize soggy mnamfahamu...? hivi ruge pia ana nguvu hadi radio za huko Kenya ...
 
Acha uwongo wewee hakuna radio inayopga nymbo zenu..mnaimba matusi,sasa radio itapga nymb za matuc?..kwa kuwa wamarekan wanatukana na nyie ndo mana mntukana!khaa km nd hvyo uingerez n mash..oga na nyie kuwen ma.s..hoga bac..et unajcf kabsa ..khaa!yoo

we bwabwa kweli kweli
 
Sina ugomvi na hao wasanii but hayo matusi wanayomwaga ... kah nimewashusha thamani... hiphop sio matusi ... kawape taarifa hao vinega , na pia mkubali wa tz ni mashabiki wa bongo flava, bongo flava zipo juu ea, nenda Kenya kaulize who is alikiba, alafu waulize soggy mnamfahamu...? hivi ruge pia ana nguvu hadi radio za huko Kenya ...

Hilo swali nilishawauliza mkuu,nikaambulia matusi yoo..
 
Ww tu na roho yako kamwambie rugay kuwa hawezi kushindana na sugu hata kama anatumia ikulu na sasa wanaenda kumwaga sumu vyuoni ili wasusie upuuzi wa wafu fm nyie mnaona raha sana wasanii wakiwa empty waje kuwapiga vizinga hata nigeria walisusia shoo ya 50 cent na ndo chanzo cha wasanii kulipwa vizuri sisi je kwanza DMX hilo mmepigwa changa kwenye ratiba yake ya shows hajaiweka tz labda mkamfufue michael jackson

Hihihihihihi namkubali sugu ila kawapandisha wasanii waliofulia wote...sogg dog analipi jipya kwa waswahil wa kizaz hiki...me ntaenda kumwona mnyamwez anaetoka mbele..DMX....sugu amekuja na wahun waliofulia kimzik..mwisho wasikuu watukabe roba mashabiki kutuibia sim zetu
 
Jo.kusaga & Ruge walianza burudan kpnd hcho sugu anatokwa na makamasi.,Unamkumbuka Dj.Emperor?inawezekana ulikua mdogo yoo...

Aisee we wa ajabu kweli, Ruge wakati anasoma SUGU tayari alikuwa anafanya music, mpk RUGAY anarufdi tz kamkuta mchzi anafanya music so usidandie treni kwa mbele, Mawaingu wakati inaanza A Twn RUGAY hakuwepo arusha, wamekutana mwishoni mwa miaka ya 90, sasa sugu kaanza music 1989 na 2002 akachukua ubingwa wa mkoa enzi za yo rap bonanza wewe unajua hilo?
SUGU amehit 1995 na album yake ya kwanza niambie RUGAY alikuwepo???
shame on you unayetumwa na RUGAY wewe ****, SOggy akiwa na Bantu Pound walizindua album yao ya kwanza 1997 je RUGAY alikuwepo?
 
sasa DMX ana kitu gani kipya kwa watanzania?
kiingilio kikubwa kwa nyimhbo zipi?
mtu alihit 2000-2005 toka hapo hana jipya leo ndio wanatuletea bongo?
WAFU FM na RUGAY kwishnei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom