Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,628
- 9,032
Mungu awape haja za miyoyo yenu.
wazo jema sana ila msijitenge sana maana kila mtu ni mlemavu wa kesho. wewe ukiona unaweza kufanya maisha na mtu hata kama sio mlemavu wewe mfungukie tu. mwache yeye ndo achague atasuka au atanyoa.Habari wakuu , kwa wake wenzangu na Mimi wenye ulemavu wa aina yoyote iwe hearing problem , bubu ,albino nk Basi karibuni mtafute wenza hapa maana huwa tunajiona wanyonge au kujikatia tamaa hasa kwenye suala la ndoa , mode naomba huu uzi usiunganishwe na zingine