Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,812
- 225,600
Jamani 🤣🤣🤣🤣Anapita mulemule
Bado tu apunguze mboga🤣
Hebu tuone! 😄Mimi nilishatoka chamani😂
Hebu tuone! 😄
Siku hizi unakula sana😂😂😂
Jamani usiniseme Anne!🥴Siku hizi unakula sana😂😂😂
Mbona wali mwingi hivyo?🤣
Baada ya kumaliza mfungo ilibidi niongeze portion kidogo ,kufidia kilo Ilizopotea..Mweh! Kweli umekimbia Chama. 🙌
Oh, sawa. I'll be here witnessing all of it.Baada ya kumaliza mfungo ilibidi niongeze portion kidogo ,kufidia kilo Ilizopotea..
Nikishazifidia narudi kulekule.