trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,337
- 7,673
bonge ya mfupa😂
Nyama ya kwenye mfupa ndio tamubonge ya mfupa
Sasa wewe unatafuta lawama hapa si bure
Karibuni beach lifeView attachment 2814639
hii combo mbona siielewiDagaa mubashara toka Mwanza
Mwanza kumbe dawa watamu hivi na hamsemi
Nahamia mwanzaView attachment 2815239
Walaahii combo mbona siielewi
chai ya rangi +dagaa+chapati.utakuja kuhara kimasihara mkuu