Meno yangu yamepata ganzi ya ghafla
Hayo mashoes yake sasaBuza watundu sana! View attachment 2282403
Cha wapi hiki nikifungie safari
Aloo cha wapi hiki tukifungie safari
Mtoe na location bas jamani, sio kututamanisha tu
Shelisheli makini. Ivi dar yanapatikana wapi kwa anayejuaVitu Fresh View attachment 2281280