Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,055
Si nimeweka kofuli pale mlangoni watu wa humu washanichoshaYaani sijaiona na nikiku pm sijui umezuia au sms haiji
Si nimeweka kofuli pale mlangoni watu wa humu washanichoshaYaani sijaiona na nikiku pm sijui umezuia au sms haiji
Sipendi viazi kabisaaaaaaFurahiday
Dinner View attachment 1152004
Untengeneza kwa order Au??Nyumbani kwangu
Asee poleSi nimeweka kofuli pale mlangoni watu wa humu washanichosha
Sipendi viazi kabisaaaaaa
Kama hutaki kusamehe na ugali usile ebooNinakula ugali na msamaha sitoi
KaAmonia kwa mbaalihapo hata ile hewa chafu itatoka mixer
Sijui kwa nn yaniDuh kwanin
Hapana,kama una oven nikuelekeze uwe unatengeneza ni rahisi tuuUntengeneza kwa order Au??
Sahani zimekuchanganya?Nazoom tu
Sahani zimekuchanganya?