Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Huyu amechinjwa mkuu...... [emoji39]Dah..! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] ukisikia KUKU MZIMA ndio huyu hapa
Dah....huyu lazima zile hisabati za uwiano (ratios) zilimpiga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji41]
Karibuni
Kwa sisi tulivyo atakua ni MTU 1[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hii mko wangapi Mkuu ?
Mmoja tu mkuu,one man army!! Kuna kila kitu kuna mpaka sato hapo amefunikwa na ganda la limao hapoHii mko wangapi Mkuu ?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mmoja?wallah hii inaitwa kupaniaMmoja tu mkuu,one man army!! Kuna kila kitu kuna mpaka sato hapo amefunikwa na ganda la limao hapo
Raha jipe mwenyewe mama! Nakula goodtime tu saiv[emoji41] [emoji41] fack love[emoji57] [emoji57][emoji2] [emoji2] [emoji2] mmoja?wallah hii inaitwa kupania
Kila la kherRaha jipe mwenyewe mama! Nakula goodtime tu saiv[emoji41] [emoji41] fack love[emoji57] [emoji57]
Amen dada ndaunile[emoji120]Kila la kher
Simple and yummyna kweli hizi tarehe si rafiki kabisa 🙂
Ila menu inaeleweka unashushia na maji
Hivi kwa wengine sio kibudu huyu kuku?
Hapa Dompo inahusika kusindikiza huu msosi
Fresh from kitchen
Hapo gharama ni maji ya kunywa ya bariiid, tena mchana
Mhmhhh....anko upo vizuriHapo gharama ni maji ya kunywa ya bariiid, tena mchana