Uzi wa vyakula tu

Kuna vitumbua nilikula kwa mhindi Arusha

Kitumbua kina matobo fulan makubwa makubwa,kila ladha ambayo haijawahi kuniisha mdomoni,

Sijawahi kula kitumbua kama kile
 
Arusha Kuna mama alikua anauza vitumbua vitamuu amenifanya nisofurahie vingine nnavyokula....miaka imepita.Alikua anauza barabarani tu opposite na ofisi za maji....nilikua sikosi,alinizoea akawa ananiwekea pembeni kila siku

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kunamaharage na wali nilikula Moro zamani sana pale opposite stand ya zamani kuna mgahawa wa waarabu aisee,badaae ilibidi safari ziwe nyingi tu za Moro si kwa yale maharage,
Nimepika tena na tena sijawai kupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…