Sio njema kutesana kiasi hiki!!View attachment 1582537
View attachment 1582538
Biriani ya kuku wa kienyeji kutoka jikoni kwangu haya wa ndugu ndio namaliza w. End hivyoo
Maeneo yangu ya kujidai ndani ya Tandika hizo, zinaitwa hashua!halafu kuna sizzling pumbu za mbuzi pale balaaa
Hahahaha!Oyaa!!Umenishinda mzee baba
Ugomvi wangu unaujua huwa sikubali! Nimebanwa tu! NingekulipaHahahaha!
Nakuombea uendelee tu, kubanwa na majukumuUgomvi wangu unaujua huwa sikubali! Nimebanwa tu! Ningekulipa
Nakuombea uendelee tu, kubanwa na majukumu
Mkuu naongea kwa kujua!! Pilau ya ulimi wa ng'ombe!!Pilau inapikwa na mchele lakini..ulimi wa mo labda thupu
Mimi nahitaji picha tu, hapa nilipo siwezi kupata.Ukitaka linapatikana Kila ijumaa
hahahaha! Kuwa mpole tu brotherDah!! Huu uzi kila nikiupitia kuna watu wananiliza daily!
dingimtoto
SIERA
Nitawalipa IN SHAA ALLAH.