dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Napenda hilo ulilolisema kwasababu nia ni kujifunza vitu vipya lakin siyo wote wanaweza kutoa ushirikianoMkiwa mnaweka vyakula wekeni na jina lake basi.... na matayarisho yake.
Ni ombi lakini.
Wewe ni Chef?Napenda hilo ulilolisema kwasababu nia ni kujifunza vitu vipya lakin siyo wote wanaweza kutoa ushirikiano
Usisahau kutufundisha kwa mfano
Hapana mkuu mi mama wa nyumbani tuWewe ni Chef?
Waruhusiwa mkuu... nilitaka kujifunza kwako nilijua wewe ni Chef.Hapana mkuu mi mama wa nyumbani tu
Ujuzi wa uswahilini tu,au haturusiwi!?
Asante mkuuWaruhusiwa mkuu... nilitaka kujifunza kwako nilijua wewe ni Chef.
Heshima kwako.
Vitu vyako hivi+bapa!Njaaa
Mboga ya kitimoto iko wapi?
Ooh kumbe humu tunatupia tu hata kama hatuliWala sijasema ni msosi wangu nimetupia tuu