Nakubal kila menu yako ina mboga za majan safi sana
Mm hapaNani anakulaga kambale?
Haha haha haha, hii meal bhaana!
Haya huyo hapo hangaika nayeMm hapa
Hapo lazima yatabaki mpaka kesho asubuhi ya kunywea chai sijui nani aligunduaga hii formula
Dah kitu cha beans na rice hatar sana hii menu!!!Haya huyo hapo hangaika nayeView attachment 1485062
Umenchekesha sana!!!!
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibuyap kama unafanya mazoezi sana kula ukiwa mvivu kama mim mmh tabuu
nitakurushia msosi nitakaokula leoo mchana ngoja nikajiandaee
Ukisema ngano unanichanganya ujue mbona mimi naona makande au umeweka na unga ngano?hayatabaki ngano tamu sana aisee
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibu
Ngano vipi? Si makande haya?
Watoto wa buza tunauita wali mchafu.Happy Sunday
View attachment 1485105[SUP]h[/SUP]
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibu