Uzi wa vyakula tu

We acha tu
Siku ya 5 hii sijala ugali
,sio kawaida yangu kabisa
Zile milkshake zangu nazimiss


Kesho nataka niende mbali huko nikatafute sembe,hapa wanauza dona na mimi dona sili.
Jamanii bila ugali si watakukondesha sasa.?...pole sana.! Nenda mwaya ukapate kitu roho inapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…