Uzi wa vyakula tu

Hujaona hiyo mikate miwili hapo? Ina nyama na makorombezo katikati.
Na juice ya tikiti ilikuja
ika nilivyofika home nikala tena mkate na chai.
Haitoshi

Yaani wametia tuchips tutatu jamani
 
Reactions: amu
Virse versa,kula chakula then malizia matunda ndo utaratibu otherwise ni ulafi tu.kula chakula na sallad ni sawa.matunda na chakula big no labda buffé ya harusini maana yatakwisha.
 
Haitoshi

Yaani wametia tuchips tutatu jamani
Halafu bei sasa.
Unaweza kulia
Mimi sikushiba nimefika kwangu nikala tena mkate na chai
.
Lakini niliyekuwa nae yeye anakuka tu hako kamkate kamoja na chungwa eti anashiba
na ana limwili likuuuuubwaaa sana
 
Atakuwa na minyoo huyo Sio bure

Sh ngapi hicho?
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…