Hahaha kaniuma sana huyo satoAu angetugaia sie na sie tungepata izo nutrients
Duuh.. kwa Bei Hizo, ni mwaka gani huo?
Huyu ni mchepuko tu anaandaa mazingira ya kuomba hela
Jirani nipoo kwa uweza wa MunguJirani upo? @DingimtotoView attachment 1148258
Hahhaha nimebrake kinyumbani... Tuonane at 1 pm.
Leo hauja break the fast?
Haushibii.
Nashushia na tendeHaushibii.
Halafu haujagundua tumekula sehemu moja Leo?
Wewe ndio hushibi hata kwa punje