Bado lunch hapo.
Bado korosho zinazozagaa zagaa ovyoBado lunch hapo.
Na bado juice ya kwenda nayo ofisini na maji makubwa ya Kilimanjaro.
Tuliosomaga nutrition tunasema "this is the waste of food resourses"View attachment 1146140
Mchana mwema viongozi
Nimeshikwa njaa kali ghafra and ts not noon yet
Sasa hivi mnabembelezewa kuzinunua eti?Bado korosho zinazozagaa zagaa ovyo
Muda mzuri wa kuja huku ni muda wa kulaNimeshikwa njaa kali ghafra and ts not noon yet
Wenye matatizo ya apetite humu panawahusu.Muda mzuri wa kuja huku ni muda wa kula
Sasa hivi mnabembelezewa kuzinunua eti?
Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu
Noma sana...
Mimi namfuata the then minister wa ile ministry kuwa kibaiyolojia zinatubeba sana.
Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu
Tuliosomaga nutrition tunasema "this is the waste of food resourses"
cute b wapi hii?Vipi hapa nakujaza nini?View attachment 1143872
Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cenaKulikua kuwe na kaugali pembeni nini?
Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cena. Mwili utachukua just a fraction of that protein, kiasi kikubwa ataenda kukikojoa chooni.
Angeweka kipande kidogo cha samaki, mbogamboga ndio zingejaa hapo.