My epicureThank you.
Nimeona picha nyingi mkiwa mnachoma kuku pembeni kunakuwa na mahindi, huwa mnayapata ndani ya kuku? Au siku ya kuchoma kuku ndo siku ya mahindi pia
kona hizi tupelekane cadey
Wewe tuu na pesa yako una enjoykona hizi tupelekane cadey
Naomba ninunulie soda bonge.luscious
Naomba ninunulie soda bonge.
Namna hii
Umenichekesha ujue... Et pepsi big.... Now now unpata
Unakunywa hadi unavimbiwa... Afu soda ikilala inazidi kuwa mbaya
Ukiifunga vizuri ukaweka kwenye friji haina shidaaaUnakunywa hadi unavimbiwa... Afu soda ikilala inazidi kuwa mbaya
Ukiifunga vizuri ukaweka kwenye friji haina shidaaa
Sure. 1up to 2 days.but not for so long ee
NotedSure. 1up to 2 days.