Nishaipigia na Co-malather hapaDah kwa menu hiyo malaria lazima ikimbie
Bora kinyumbani nyumbani, hizo menyu za wazungu nazoziona humu unaweza kula nnya ukifikiri ni bonge la msosi.View attachment 596673
Bweche na mandondo . Mchana mwema wakuu
Wapendwa Alibakari leo hayuko poa, Malaria inasumbua na anaendelea na dozi. Hata hivyo ilikuwa chai ya leo hii
Ahsante missyrose nashukuru sana leo nimepata nafuu.Pole sana Ally.
Duuh shahawa
Inapigana vikumbo tumboni loh