Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidi
Daah miss Mungu anakuona ujue
Ni kweli kabsa boss wangu..!!Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidi
Kwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu
Kwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu
Na kweliSpesho oda ya Jr.. . Loh
Hahahaaa tayarwasha Bluetooth
Sawa bossSubiri muamalau utasoma muda si mfupi
Kwa kweli sukuona mamdogo mi naona kila siku waleta vitu vitamu vitamu tumadogo hukuona ugali maharage wiki yote hii
Bas wewe ukiona post ya ugali maharage unaipita ndo maana hujaonaKwa kweli sukuona mamdogo mi naona kila siku waleta vitu vitamu vitamu tu