THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Nataka uwe muhogoNaona unaboresha kibamia
Mara moja moja sio mbayaMpishi maridadi sana
Ntajaribu next time in sha allahNdio,
Tende maziwa na karanga
Ntajaribu next time in sha allah
Mara moja moja sio mbaya
Huamini eee...!!Labda umdanganye nyau,kwa namna vyakula vinavyoonekana huwezi kuwa umepika wewelabda ulikua muonjaji.
Karibu Na hukuChapati nusu,kamchuzi kidogo,maharage na ndizi mzuzuView attachment 960974
Kiporo cha maharage kinajua kuonewa jamaniChai kiporo View attachment 961276
Usimalize Nakuja..!!Karibu Na hukuView attachment 961268
Hiki kiporo ni funga kazi..na kile cha wali kisamvu. Hivi ndo vinafanyaga mtu unavunja diet unasema ntaendelea keshoChai kiporo View attachment 961276
Kweli kabisa ukikutana nacho lazima diet utaweka pembeniHiki kiporo ni funga kazi..na kile cha wali kisamvu. Hivi ndo vinafanyaga mtu unavunja diet unasema ntaendelea kesho
Kama hivoRaha ya kiporo kiwe cha wali maharage na chai ya rangi