dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Ooh! Jamani pole kwa mara ya pili tenaAah mimi situmii
Ooh! Jamani pole kwa mara ya pili tenaAah mimi situmii
aibu unaiona wewe

SawaaKwanza foundation ya msingi... View attachment 960173

Siku moja moja kumualika jirani yako sio dhambi ujue
Teh chakula cha taifaUgari bamia na nyanya chungu (wasukuma na wanyamwez mmenielewa zaid)View attachment 960228
Yummy na dagaa kwandanTeh chakula cha taifa View attachment 960281
NimeshiibaYummy na dagaa kwandan
Naona unakulabamia upate utelezi wa wkendNimekubal![]()
Ahaaa Ila dagaa sipendi basi tu aaahcna majibu
Hahaha! Jirani karibu, sanaSiku moja moja kumualika jirani yako sio dhambi ujue
Embu komba mboga hiyo...NimeshiibaView attachment 960292
Dagaa wako poa si unajua ndio mboga ya kila mtanzaniaAhaaa Ila dagaa sipendi basi tu aaah
Miss mbona umekula vibaya hivi hebu maliziaNimeshiibaView attachment 960292
Aah mpaka niombe jamaniHahaha! Jirani karibu, sana
Nisamehe bure jirani ila mwaka, unaisha huu...Aah mpaka niombe jamani