Duuu aiseee!!!bro' ndio maana huzeeki
Kojo lako lazima mtu alowe mwaka



Karibu ingawa umechelewa
Asante, maana nimepona ghaflaKaribu ingawa umechelewa

Asante, maana nimepona ghafla![]()
Hapo umekosa tembele ama mchichaWale wa kwetu kule mwisho wa reliugali muhogo na mugebuka choma na pilipili pembeni.. Karibuni wote View attachment 914215
Akili zako ni za usiku hata kama ni mchanaKojo lako lazima mtu alowe mwaka


Umeona hyo supu?Akili zako ni za usiku hata kama ni mchana![]()