Nifundishe kupika pizza twin
Ila Twin kwanini unataka kuniaibisha lakini🤣🤣🤣🤣
Kwanza sijawahi kula hiyo pizza nitajua kuipika kweli?
Nimependa jibu lako.
Always positivityNo negativity allowed this side
Eeeh mamyAlways positivity
jomoni twin kila siku nakuona kwenye huu uzi....kwani huwa unajua kupika nini zaidi?
Ila twin mimi sitaki🤣🤣🤣 uchelewi kuniambia nikuelekeze!!
....twin kwani uko busiest eti?
Haaahaaa .....jomoni unajistukia asee🤣🤣🤣 no Twin ila sitaki kuumbuka ila twin naona unanifanyia interview kijanja
Haaahaaa .....jomoni unajistukia asee
Am serious huwa nakuona hapa kwenye huu uzi nifundishe na mimi basi
Mimi tambi mixer na nyama ya kusaga jamani imenishinda kupika!kama sijisikii kula nikipita humu najikuta nikiona kitu najikuta napata hamu nacho so napika nile.
Halafu huwa unaniona sababu unautembelea huu uzi kimya kimya ehee?
Unataka nikufundishe chakula gani?
Mimi tambi mixer na nyama ya kusaga jamani imenishinda kupika!
Ila Twin kwanini unataka kuniaibisha lakini
Kwanza sijawahi kula hiyo pizza nitajua kuipika kweli?
Ishhhhh.....chumvi na sukari???Kuandika maelezo sasa!!
Twin hebu niache!! Ungekua serious ningekutumia voice note ya maelezo whatsap
mimi hii nakula nikipika mwenyewe kwa mtu siwezi kuna sehemu nilikuta wameweka chumvi na sukari nilihisi tapika.
Ishhhhh.....chumvi na sukari???...kutapika muhimu asee!
Itakuwa inna unajua kupika pizza wewe
Nilivyo sipendi biriani twinTwin nifundishe kupika biriani yaani huwa linanishinda