babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,967
- 20,298
No ndizi parachichi Mbeya tunakula tu,uponde ,upike,uchome,ukaange ni ndizi tu mapishi tofauti.Nilifikiri wanaume wengi hawapendi ndizi.
Kijiwe mishikaki, wana JF wengi tunakutana mahali mahali ni vile tu hatufahamiani 😅
Ndizi ni favorite dish yangu, ila nimekulia sehemu hamna ndizi na hata zikipikwa basi chakula cha kike.No ndizi parachichi Mbeya tunakula tu,uponde ,upike,uchome,ukaange ni ndizi tu mapishi tofauti.
Kuna ndizi mkono wa tembo sijawai ona humu.
Ndyali,matoke5,bukoba
Kuna harare tunawapa nguruwe.
Kuna ndizi mabhifu.
Kuna zingine purple sikumbuki jina
Uzee teknolojia inanipitaNgoja niiweke vemaView attachment 3558841