Uzi wa vyakula tu

Mimi na akili yangu na mwili wangu tumechagua kulitumikia tumbooo....πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Na lake halipooo.....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Yaani kuna vyakula vitamuuu, unakula halafu unakula tena ila njaa haikati....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Hapa tumbo jeupeee wakati dakika 10 zilizopita nimetookaa kuufinya....😒
 
Ni imekuwa ni ugomvi na waifu kila siku, nikingia na hizi kitandani huku naperuzi kishikwambi πŸ˜‚


Kama mnagombea ukuje nazo pakti 4 kila mti na zake.

Kama hapendi uwe unaziweka kwenye sidebed yako unabugia moja baada ya nyingine....

Wacha kesho nikanunue zingine potelea mbali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…