babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,967
- 20,298
Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisa😊
na kachumbari pembeni😋Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisa😊
Ila huu mzigo ukipoa unakua kokotoView attachment 2726338
Sijaja duniani kusindikiza watu acha nile tu kufa kupo🥹
Upare moja hiyo.
Bomu hilo kajilipuwe ubalozi wa DPW wataelewa hatutaki wawekeze bandari.
watu mnaopenda pineapple kwenye pizza sijawahi kuwaelewa😅
Na hiyo pineapple ndiyo imefanya leo kwa mara ya kwanza nimekula Pizza nikaipenda....watu mnaopenda pineapple kwenye pizza sijawahi kuwaelewa
ukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sana😅 ndo mother of all pizzasNa hiyo pineapple ndiyo imefanya leo kwa mara ya kwanza nimekula Pizza nikaipenda....
Inakuwa tabu sana
OK...nitaijaribuukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sanando mother of all pizzas