BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 362
- 848
🙄Kuna wengine wanakula kenge wanasema samaki mbulu sijui
Huo unaitwa ufundi mangungo kama umechemkaAisee nilitaka kujaribu ufundi kisha nitupie hapa..nimechemka
Sasa kama huyu wanampa nyoka watashindwa kweli?Huyu samaki anaitwaje wakuu.
Kwetu tunamwita Mkunga. Sijawahi kumla lknHuyu samaki anaitwaje wakuu.
Kweli jamaa mpk anaboa mnooChief tupunguze picha za kudownload kidogo