Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,933
- 13,944
Hakuna kitu nilikuwa nachukia kama kuangalia maharage alafu ubaya tulikuwa tunapitia kwenye kuni hapo bimkubwa kabana hakuna cha housegirl wa mabinti kuchochea moto ni watoto wa kiume ndio kazi yenu had yaive alafu mm ndio nilikuwa mdogo Yan utapigwa na moshi hadi uchukie.Yaani unapelekwa kama gari bovu na kila mtu anakutuma kwa wakati wake.
Inafika muda nasema sasahivi kama mmenituma vitu nusunusu sirudi tena..nimechoka.
Hapo mama akikuachia kuchochea maharage,ole wako akute yameungua,au hayajaiva..msala huo
Kipindi Nimepata ajali ya mkono nikageuka mla bata.
Kila kitu nafanyiwa..
Maza alikuwa mkali sana,yaani akirudi toka kazini akakuta sijahudumiwa aisee moto unawaka..
Ila alitufundishaga kazi tangu tukiwa wadogo,,tukikaa sasahivi kupiga stori tunamkumbusha huku tunacheka.





hazifai?