hiyo chumvi hapo ya kuweka kwenye juice au??
Ndiyohiyo chumvi hapo ya kuweka kwenye juice au??
Aisee huo mchanganyiko ni noma, ningeanza na kukuYeah zipe kubwa damu ya mzee
Tamuu
Baadae nitakulipa hii ila ugali hautakuwepoLeo naomba ku share a work of my hands. Karibuni snaView attachment 2429327
Weka na ugali ndo Ina noga aisee
Mbona andunje wetu show itamahinda anakulaje tambi na mayai....sio kujambiana huko 🤣🤣🤣🤣🤣
We nyau hiyo nilikula mimiMbona andunje wetu show itamahinda anakulaje tambi na mayai....sio kujambiana huko
Ah ok....kumbe unajua kupika pika. Hongera ila punguza winginwa chakula🤣🤣🤣🤣We nyau hiyo nilikula mimialafu nalala peke yangu ebu niache huko.
Sent using Jamii Forums mobile app