martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,463
Jamani, hizo dishes mngekuwa mnaandika na majina bc, maana c nd starehe zetu hiz
Kisamvu kimechanganywa na Mbaazi, Kachumbari na Mihogo.
Atari mkuu Jana asubui hiyooKisamvu kimechanganywa na Mbaazi, Kachumbari na Mihogo.
Mimi tamani sana.
Jamani
Chai yako ilikuwa nzito sana.Atari mkuu Jana asubui hiyoo
Asante SanaChai yako ilikuwa nzito sana.
Umenitamanisha ujue, siri ya Kisamvu cha kulala ladha inaongezeka.
Safi sana Kiongozi

mkuu napenda Sana kisamvu