😂Imagine na December ya kujiachia inakuja,Siku unaamka mlango unakuwa mdogo hauwezi kupita ndio utakoma 😂
Pole sana! Siku nyingine unikubalie lile ombi langu nimalizane na kaka yako!Jana sikuwa na mboga wala tunda lolote.Niliamua kula wali mkavu.
Sa tutanenepajeNikipakua kingi simalizi mweee,,,naogopa sana kumwaga chakula.
Siku unaamka mlango unakuwa mdogo hauwezi kupita ndio utakoma
Eti wanasema mbinguni tutapewa mwili mpya 😀😀Mambo yangu, ndio maana sipungui😄
Vishomboshombo uzuri wake havikinaishi.
😋😋Uroho huu..mhhhVishomboshombo uzuri wake havikinaishi.
karibuu sana mgeni jisikie upo nyumbaniHodi