Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Mkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapaπππ
Siyo lazima wote tule sembeMkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa
Nataka nikuseme hadi uache kula SembeπππSiyo lazima wote tule sembe
Sembe siachi ng'oo.Nataka nikuseme hadi uache kula Sembe
Sembe siachi ng'oo.
Nina mpango nianze kula tena ule wa kuloweka.
Ohhhh...na nyie mmeanza kula vyakula vyetu vya kimasikini πTozo zimetufikisha ukuView attachment 1903083
Saladi hiyo hatarisana sana umkute mpishi aijuilie mixer nyama.unaweza kula ugali Dar mpk Moro.
Najua,na mara nyingi maeneo ya jeshi.huikuti sokoniTatizo ni konokono. Inalimwa kwenye maji.