rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,112
- 7,796
hii Ni Nini mkuu, ipo Kama mnyoo
hii Ni Nini mkuu, ipo Kama mnyoo
Soseji nyama ama mtura, ukivuka bodahii Ni Nini mkuu, ipo Kama mnyoo
Pale mdada mpole anapokula vitu vipole![]()


Saaaaana!😂😂😂hapa najua nimekufurahisha![]()
kibongo bongo bei gani hotelin huyu
Dada uko vzur kwenye hii sector
Ale pilau na wali kwa uangalifu sana,siyo vyakula.Dada uko vzur kwenye hii sector
Labda Kama hyo pilau n weekend Kwa weekendAle pilau na wali kwa uangalifu sana,siyo vyakula.