Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Uzi wa hapa JamiiForums unaodai kuwa hazina imekauka hauwezi kupita hivi hivi bila kina fulani kujitokeza mbele ya waandishi kwa lengo la kujaribu kujisafisha/kuweka mambo sawa.
Watakuja na habari ya kukanusha na kudai kuwatoa hofu wananchi huku wakiilani taarifa hiyo na pengine kutoa onyo ila sijui kama watakuja na majibu ya kuridhisha.
Tusuburi.
Watakuja na habari ya kukanusha na kudai kuwatoa hofu wananchi huku wakiilani taarifa hiyo na pengine kutoa onyo ila sijui kama watakuja na majibu ya kuridhisha.
Tusuburi.