Uzi wa serikali kufilisika utawatoa kina fulani kutoka mafichoni na kuja kujaribu kutoa ufafanuzi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Uzi wa hapa JamiiForums unaodai kuwa hazina imekauka hauwezi kupita hivi hivi bila kina fulani kujitokeza mbele ya waandishi kwa lengo la kujaribu kujisafisha/kuweka mambo sawa.

Watakuja na habari ya kukanusha na kudai kuwatoa hofu wananchi huku wakiilani taarifa hiyo na pengine kutoa onyo ila sijui kama watakuja na majibu ya kuridhisha.

Tusuburi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uko jukwaa upi Mkuu nami nikausome!?

Uzi wa hapa JamiiForums kuwa hazina imekauka hauwezi kupita hivi hivi bila kina fulani kujitokeza mbele ya waandishi kwa lengo la kujaribu kujisafisha/kuweka mambo sawa.

Watakuja na habari ya kukanusha na kudai kuwatoa hofu wananchi huku wakiilani taarifa hiyo na pengine kutoa onyo ila sijui kama watakuja na majibu ya kuridhisha.

Tusuburi.
 
mm wamenifurahisha tu uvccm walivyopanick,hawajibu hoja wao ni povuuu.kweli nyie nyuzi zile zenye data huwa mmefunikwa blanket usoni.hamtak wananchi wajue kibubu chao kinaendeleaje??!?!duh kwani nchi yenu hii?
 
Si tuliambiwa na Ole kuwa watatuma vijana wao kwenye mitandao kupapambana...
 
Uzi wa hapa JamiiForums unaodai kuwa hazina imekauka hauwezi kupita hivi hivi bila kina fulani kujitokeza mbele ya waandishi kwa lengo la kujaribu kujisafisha/kuweka mambo sawa.

Watakuja na habari ya kukanusha na kudai kuwatoa hofu wananchi huku wakiilani taarifa hiyo na pengine kutoa onyo ila sijui kama watakuja na majibu ya kuridhisha.

Tusuburi.
Uzi haukueleza hazina imefilisika kivipi, kwa kutumia vigezo gani. Lakini kama ulivyosema, ni kweli wanaweza kuujibu ila ni wa kupuuziwa kwa sababu ni maneno yasiyo na Tarakimu.
 
mm wamenifurahisha tu uvccm walivyopanick,hawajibu hoja wao ni povuuu.kweli nyie nyuzi zile zenye data huwa mmefunikwa blanket usoni.hamtak wananchi wajue kibubu chao kinaendeleaje??!?!duh kwani nchi yenu hii?
Lakini ule uzi hauna data mkuu
 
Back
Top Bottom