Uzi wa kutupia neno lolote au msemo wowote wa jadi,kitamaduni,kikabila au kiasili hapa na maana yake.

Fake

Member
Oct 10, 2018
93
53
Naanza na Mimi hapa;
Umwana atabwigwa,ubwigwa na masomo utukula=maana yake mtoto asiposikia,atasikia na macho yakiwa mekundu au akiwa analia na kutoa machozi baada ya viboko.
 
"KWIGWA KWA MBULU, MPAKA MININGA MU'NTO" = KUSIKIA KWA KENGE MPAKA DAMU ITOKE MASIKIONI
 
Naanza na Mimi hapa;
Umwana atabwigwa,ubwigwa na masomo utukula=maana yake mtoto asiposikia,atasikia na macho yakiwa mekundu au akiwa analia na kutoa machozi baada ya viboko.
kutepa mmaveleka utenda vakimbya wala:
 
Back
Top Bottom