mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,969
- 6,460
Huu ni uzi maalumu wa kurushia walau neno na picha za sehemu mbalimbali nchini kuonyesha uhalisia wa tatizo / foleni kubwa ya kupata vitambulisho ili kusajili laini, kuna watu wanaumia wanaona imekuwa kama adhabu, maana watawala wanasema zinafungwa , foleni nayo imesimamia kucha.
Mawazo yangu naona hili jambo ni muhimu ila kwakweli linaumiza watu, ni kama hawakujiandaa foleni bado ni kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yangu naona hili jambo ni muhimu ila kwakweli linaumiza watu, ni kama hawakujiandaa foleni bado ni kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app