Uzi wa kurushia picha na mawazo mbalimbali ya foleni za vitambulisho vya NIDA

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Huu ni uzi maalumu wa kurushia walau neno na picha za sehemu mbalimbali nchini kuonyesha uhalisia wa tatizo / foleni kubwa ya kupata vitambulisho ili kusajili laini, kuna watu wanaumia wanaona imekuwa kama adhabu, maana watawala wanasema zinafungwa , foleni nayo imesimamia kucha.
Mawazo yangu naona hili jambo ni muhimu ila kwakweli linaumiza watu, ni kama hawakujiandaa foleni bado ni kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzi maalumu wa kurushia walau neno na picha za sehemu mbalimbali nchini kuonyesha uhalisia wa tatizo / foleni kubwa ya kupata vitambulisho ili kusajili laini, kuna watu wanaumia wanaona imekuwa kama adhabu, maana watawala wanasema zinafungwa , foleni nayo imesimamia kucha

Sent using Jamii Forums mobile app
wale wenye pesa wanatamba tu maana wanatumia pesa zao kupata kila kitu
 
Huu ni uzi maalumu wa kurushia walau neno na picha za sehemu mbalimbali nchini kuonyesha uhalisia wa tatizo / foleni kubwa ya kupata vitambulisho ili kusajili laini, kuna watu wanaumia wanaona imekuwa kama adhabu, maana watawala wanasema zinafungwa , foleni nayo imesimamia kucha.
Mawazo yangu naona hili jambo ni muhimu ila kwakweli linaumiza watu, ni kama hawakujiandaa foleni bado ni kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa wa gazeti la mwananchi ananyea debe huko Mwanza kwa kosa hilo la picha
 
Hii nchi ni ya kufikirika tusipoamka mapema tutajapangiwa na muda wa kulala na muda wa kunyanduana aiseee.

Huyu Meko hasitahili hata kuwa kiongozi wa darasa la tatu B
 
Back
Top Bottom