Uzi wa kumpongeza Mbabe Bashar Assad

Uzi wa kumpongeza Mbabe Bashar Assad

Mataifa ya USA na Israel walikuwa wanafurahi ISIS ilivyokuwa imeteka eneo kubwa la Syria walitamani ASSAD adondoke

Ni miaka 9 sasa Mbabe Assad yupo na ameishinda ISIS vibaraka wa USA na Mossad.

Lkn bado USA na Israel wanaendelea kuidhoofisha Syria lkn Mbabe huyu ataendelea kushinda vikwazo vyote hivyo.

Heshima kwa Assad karuka viunzi vingi na bado anaendelea kuruka viunzi vya Mabeberu

#Mabeberu sio watu wazuri,mshindi dhidi ya mabeberu.

View attachment 1517177
Hivi nchi ikiwa na vita za namna hiyo mpaka miaka 9,kuna wanaosoma kweli mashuleni,biashara,maendeleo ya nchi au mtu mmoja mmoja yanakuwaje,na je baada ya vita itachukua muda gani tena kuirudisha nchi pale ilipokuwa?Tuombee amani tulionayo iendelee kudumu maana tukishaipoteza ni ngumu kuirudisha...
 
Hii vita wala haikua nchi nzima haikuzidi miji hata mitatu sehemu zingine maisha yalikua yakiendelea kama kawaida ... Vyombo vya magharibi walikua wanaonyesha wanachotaka tuone tu
 
Hivi nchi ikiwa na vita za namna hiyo mpaka miaka 9,kuna wanaosoma kweli mashuleni,biashara,maendeleo ya nchi au mtu mmoja mmoja yanakuwaje,na je baada ya vita itachukua muda gani tena kuirudisha nchi pale ilipokuwa?Tuombee amani tulionayo iendelee kudumu maana tukishaipoteza ni ngumu kuirudisha...
Wa kulaumiwa unahisi nani,kwann taifa lingine lifadhili vita, kuingilia masuala ya ndani na kuchochea chuki na mpasuko kwenye taifa lingine
 
Back
Top Bottom