Uzi wa kumpongeza Mbabe Bashar Assad

Uzi wa kumpongeza Mbabe Bashar Assad

Wameshindwa wapi wakati nchi wameiacha mgofu na bila raia walio wengi wameyakimbia nchi yao? huo sio ushindi? mfumo wa elimu na uzalishaji mali umekufa kabisa hapo bado hawajashinda?

Sasa unaposema Mh Rais Asad ameshinda ameshinda kwasababu yupo ofisini au? huo ushindi wananchi wa Syria ukiwaambia watabaki wanakushangaa na kukwambia unawadhiaki make wamepoteza mengi sana.
Maneno ya mkosaji hayo.Syria sehemu kubwa kwa sasa inajegwa na Assad mwenyewe kwa ajili ya wananchi wake.muda sio mrefu nayeye atafanya kama marehemu Gaddaf"unapewa sehemu ya kukaa na mke juu.
Waliokimbia Syria hata robo ya wananchi awajafika, Syria watu kwa sasa wanakula tu bata ndugu.

Hapa ni baadhi ya sehemu zikijegwa Syriahttps://youtu.be/texVgFJW9zo
 
SYRIA NI TESTING GROUND WA SILAHA ZA URUSI NA USA.

Israel anatestia F35 IRAN na syria
 
Mataifa ya USA na Israel walikuwa wanafurahi ISIS ilivyokuwa imeteka eneo kubwa la Syria walitamani ASSAD adondoke

Ni miaka 9 sasa Mbabe Assad yupo na ameishinda ISIS vibaraka wa USA na Mossad
Clown's heaven. Ignorance is bliss and dangerous!
 
Lini ?!
Achana na habari za uchochoroni leta ushahidi.....
Israel's F-35s Are Making A Mockery Of Iran's Air Defenses

Israel's F-35s Are Making A Mockery Of Iran's Air Defenses (Maybe)

Two Israeli F-35 fighter jets entered Iranian airspace over the past month, Kuwaiti newspaper Al-Jarida reported on Thursday. The act is a signal of heightened regional tensions, especially in light of recent Israeli military attacks in Syria, including against Iranian bases in the country.

​
Sources quoted in Al-Jarida stated that two stealth fighters flew over Syrian and Iraqi airspace to reach Iran, and even targeted locations in the Iranian cities Bandar Abbas, Esfahan and Shiraz.

The report states that the two fighter jets, among the most advanced in the world, circled at high altitude above Persian Gulf sites suspected of being associated with the Iranian nuclear program. It also states that the two jets went undetected by radar, including by the Russian radar system located in Syria. – The Jerusalem Post

Two Israeli Air Force F-35 Adir Stealth Fighter Jets Enter Iranian Airspace | SOFREP

TAARIFA IMERIPOTIWA NA GAZETI LA WAARABU WENZAKO
 
Story tu kama tunavyo subiri y arudi
 
Gazeti la Kuwait liwe na access ya intelligence data kutoka IDF?
Sitaki kuamini usahihi wa habari hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata SAUDIA niwaarabu ila wanaongoza kwauadui dhidi ya IRAN leta source mnazozidai zakuaminika huo upupu wako uamini mwenyewe
 
Naipongeza USA na ISRAEL kwa kujidhihirisha wao ni wanawake tu na wataendelea kuwa wanawake mbele ya waume zao IRAN na RUSSIA.

Nyie someni mitandao, magazeti na angalieni TV vizuri, ila msidhani kilichomo (content) ndio uhalisia!

Hii dunia ina siasa ngumu kuzimeza na kuzitafakari.

Huyu Russia asilimia kubwa ya walioko kwenye think tank ni wayahudi wa kirussia, asilimia kubwa ya wayahudi ni wazalendo na wanawajibika kwa taifa lao la asili haijalishi kazaliwa wapi au anaishi wapi.
 
Acha kumeza maneno ya kuambiwa tenga muda usome vitu uelewe.
 
ukiachana na hako kagazeti chakufungashua karanga habari hio iliripotiwa katika habari gani nyengine ULIMWENGUNI [emoji23][emoji23][emoji23]

IRAN sio IRAQ mle ohooo muulize marehem global hawk
We jamaa unafurahisha sana, Hadi waarabu wenzako unawananga?
 
Tatizo lako huutaki ukweli niletee chombo chahabari mnavyoviita vyakuaminika

Hilo gazet ukitoa habar hio unaijua habar ipi nyengine ambayo yakuaminika iliiandika ?!
 
Back
Top Bottom