Uzi wa kula tunda kimasihara uwekwe kwenye dashboard ya mmu watu tupone

Uzi wa kula tunda kimasihara uwekwe kwenye dashboard ya mmu watu tupone

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,934
Reaction score
8,151
Ndugu zangu..

Jukwaa la MMU lilitukisika sana na kupamba moto kupitia uzi wa kula tunda kimasihara ulio letwa na akili kubwa rikiboy miaka kadhaa ilopita na kufanya jukwaa hili kupata muamsho mkubwa sana

Cc Moderator na active, ni maombi yangu kwako huu uzi uwekwe kwenye dashboard pale tuu unapofungua jukwaa letu pendwa la MMU kumuenzi rikiboy maana bila yeye hili jukwaa lilikua limepoa sana


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom