mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 383
Nimeona katika jukwaa la lugha kuna “English learning thread” yaani uzi unaohusiana na kujifunza lugha ya English.
Nahisi itakuwa vyema wahusika wakaanzisha uzi mwengine wa kujifunza lugha ya Kiswahili kwa sababu humu JF kuna watu wengi lugha ya Kiswahili inawapiga chenga kwani tunaona maandishi yao.
Si kila mwenye kuzungumza Kiswahili huwa Mswahili. Lugha ya Kiswahili ina wenyewe.