Uzi wa kujadili shughuli za kiuchumi mkoani Pwani

phael vet

Senior Member
Sep 30, 2016
126
82
Hellow wazima wakuu, karibuni kwenye uzi wangu wa kujadili fursa za kiuchumi na uwekezaji kwa Mkoa wa Pwani na hususani maeneo ya Kibaha. Napenda kufahamu fursa za uwekezaji maeneo hayo je ni biashara gani zinaweza kuwa ni nzuri ambazo ukizifanya maeneo haya zinalipa ? binafsi nimefikiria ufugaji wa kuku jjmn , mmh hamna ata wachangiaji duuuu
 
Back
Top Bottom