Uzi wa kuambiana ukweli na kuubali ukweli unaoambiwa

Kisai

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
27,984
28,102
Ukweli ni mchungu sana asikwambie mtu,ila ukweli huwa mtamu ukijiandaa kuupokea na kuukubali,kwani huimarisha afya ya AKILI na MOYO.

Ukweli huleta upendo na amani,ukweli hufichua maovu,na ukweli usipo uweka mahala pake huleta maafa na umwagaji damu na chuki zisizo isha.

Ukweli ni haki au kama njaa haubagui.

Lengo la uzi huu ni kuto ona ya kuwa kuelezana ukweli ni jambo la ajabu na kuukubali ukweli ni udhaifu au ni ujinga.

Mazingatio :

1. Uzi huu hautaki kuelezana ule ukweli ambao muhusika au wahusika wakiusikia utawaudhi.

2. Uzi si wa kuchambana,au kudhihakiana.

3. Uzi hauruhusu kuelezana mambo ya ndani

4. Uzi huu ni wa maisha ya jf na watu wa jf na juu ya yale maoni ya wana jf

5. Hakikisha ukweli unaousema ni ukweli hasa na si kumzulia au kuzua habari ya uongo

Mfano wa kweli au ukweli unaotakiwa hapa ni :

1. Tanzania ni nchi tajiri sana lakini wengi hatujui.

Majibu : Hapa kiongozi umesema kweli.

2. Kaka Y ile hoja yako ya jana daah,ulichemka sana aisee.

Majibu : Kweli bro aisee,mimi mwenyewe niliona. Si unajua ubinadamu bro ! Pale kweli nilipuyanga mzee.

Sijakamilika wakubwa nakosea na nina patia pia.
 
Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
 
Kuna hii stori pengine utakua ushawahi kuisikia.

Kuna shoga alikamatwa na kufikishwa mahakamani.
Hakimu akaanza

"Unashtakiwa kwa kosa la kufanya ushoga ambapo ni kinyume cha sheria, una la kujitetea?"

Shoga akajitetea..

"Mheshimiwa hakimu mi naomba nisamehewe kwasababu sikujua kama mqundu wangu ni mali ya serikali"
 
Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
Ngoja tu nikueleze ukweli hakuna mtu atapoteza muda wake aje PM kutongoza muke ya muchawi,usitudanganye mama yeyoo.
 
Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo

Nikweli lakini ukweli kwa kumbukumbu zangu kitumbua chako sio kwamba ni kitamu kama unavyosema hapo hapana kilikua cha kawaida tu ndo maana tukabwagana. Peace
 
Back
Top Bottom