Sampdoria or Draw!Draw hiyo mzee baba
Sampdoria or Draw!
1. Sampdoria ana GD +8 wakati empoli -22 inamaana Empoli ana Beki mbovu japo pia sampodoria sio mkali kivile.
2. H2H inampa Sampdoria faida japo sio kigezo kikubwa.
3. Toka mwaka jana mwezi wa nane Empoli hajafunga mechi hata moja ya ugenjn
4. Mechi zote alizofungwa Sampdoria akiwa nyumbani amefungwa na vigogo sipokuwa mechi kati ya Frosinone. Empoli ni takataka tu
5. N.k
Ingekuwa hivyo jacport ingepata mshindi kila siku,game zinazowekwa ni tata,game yoyote inayowekwa jacport kuna siri ndani yake sio rahisi, kwa mfano juve anapigwa na roma wiki hii,ingawa statics zinambeba juve,cheki gemu kwa jicho la tatu .Sampdoria or Draw!
1. Sampdoria ana GD +8 wakati empoli -22 inamaana Empoli ana Beki mbovu japo pia sampodoria sio mkali kivile.
2. H2H inampa Sampdoria faida japo sio kigezo kikubwa.
3. Toka mwaka jana mwezi wa nane Empoli hajafunga mechi hata moja ya ugenjn
4. Mechi zote alizofungwa Sampdoria akiwa nyumbani amefungwa na vigogo sipokuwa mechi kati ya Frosinone. Empoli ni takataka tu
5. N.k
Japo mechi za Italy zinaumafia ndani yake nakataa katu katu Roma atapigwa.Ingekuwa hivyo jacport ingepata mshindi kila siku,game zinazowekwa ni tata,game yoyote inayowekwa jacport kuna siri ndani yake sio rahisi, kwa mfano juve anapigwa na roma wiki hii,ingawa statics zinambeba juve,cheki gemu kwa jicho la tatu .
Japo mechi za Italy zinaumafia ndani yake nakataa katu katu Roma atapigwa.
Juve hana cha kupoteza ameshatwaa ubingwa,anakamilisha ratiba,roma akishida hii gemu anaweza kuingia top 4,gemu muhimu kwa roma na wako nyumbani,rekebisha mtazamo wako aiseeJapo mechi za Italy zinaumafia ndani yake nakataa katu katu Roma atapigwa.
PoaKuondoa utata weka double chance ya 1 or 2
Mbona mkuu huniungi kwenye group lako WhatsApp tutie mapesa ..au ulikuwa unazingua Tu amaàa??Nishaanda mikeka yake sema changamoto pesa kaka. Na hapa naelewa uwezo wangu ni mkubwa.
7Huu mpango uliishia wapi...alafu mnavosema double chance,ni kwa timu zote 13 au kuna limit
Tuko pamoja
Tulikula hela tukagawana 25m kila mmojaMliishia wapi guys?