Uzi wa Jackpot ya zaidi ya sportpesa 655 Milioni.

Draw hiyo mzee baba
Sampdoria or Draw!
1. Sampdoria ana GD +8 wakati empoli -22 inamaana Empoli ana Beki mbovu japo pia sampodoria sio mkali kivile.
2. H2H inampa Sampdoria faida japo sio kigezo kikubwa.
3. Toka mwaka jana mwezi wa nane Empoli hajafunga mechi hata moja ya ugenjn
4. Mechi zote alizofungwa Sampdoria akiwa nyumbani amefungwa na vigogo sipokuwa mechi kati ya Frosinone. Empoli ni takataka tu
5. N.k
 
Ni add jomba,
 
Ingekuwa hivyo jacport ingepata mshindi kila siku,game zinazowekwa ni tata,game yoyote inayowekwa jacport kuna siri ndani yake sio rahisi, kwa mfano juve anapigwa na roma wiki hii,ingawa statics zinambeba juve,cheki gemu kwa jicho la tatu .
 
Japo mechi za Italy zinaumafia ndani yake nakataa katu katu Roma atapigwa.
 
Juve hana cha kupoteza ameshatwaa ubingwa,anakamilisha ratiba,roma akishida hii gemu anaweza kuingia top 4,gemu muhimu kwa roma na wako nyumbani,rekebisha mtazamo wako aisee
 
Kuondoa utata weka double chance ya 1 or 2
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom