Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 380
- 747
Washkaji wengi ni wanafiki ka kamasi ndani ya pua, usipowatoa wanaganda wazibe nafasi ya kupumua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
halisi alisia adithi adisiaNikiwa bar yule mupe yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe/
Sent using unknown device
mademu wachafu na wazushi ndio huanika chupi ndani
mazao yanakua kikatili bila mvua/Sasa nimeamua kukalishla ngamia bila dua/
Mademu wanataka pesa sio bamia wala mua/
Sent using unknown device